Maulid
ya kuadhimisha mazazi ya Mtume ( S.A.W) yatafanyika Jumatatu usiku -BAKWATA
MAULID ya kuadhimisha mazazi ya Mtume(S.A.W) yanatarajiwa
kusomwa usiku wa Jumatatu tarehe 13.1.2014.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Baraza
Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kitaifa maulid itasomwa Kigoma Mjini baada ya Swala ya I’sha.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa baraza la maulid litafanyika saa
tisa alasiri (9.00) mjini Kigoma siku
0 Comments